Mashetani Wekundu wa Manchesetr United wameanza kwa ushindi wa kishindo wa mabao 4-1 kwenye ligi kuu ya England mbele ya Swansea huku Robin Van Persie akitupia wavuni mabao mawili na Welbeck akamlipa baada ya kutupia pia mabao mawili na bao la pili likitokana na pasi ya mshambuliaji Wayne Rooney ambaye alianzia benchi.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.