Monday, August 19, 2013

Bolt mkali wa dunia kwenye riadha

Usain Bolt ameipa ushindi Jamaica katika mbio za kupokezana vijiti huko Moscow na kuwa mwanariadha mwenye mafanikio zaidi katika historia ya mchezo huo duniani.

Mwanariadha huyo mwenye miaka 26 ameongeza medali ya dhahabu kwenye mbio hizo za kupokezana vijiti za mita 400 na sasa ana idadi ya medal inane za dhahabu na mbili za fedha.

Wa Marekani Carl Lewis na Allyson Felix nao wana medali 10,wakiwa na nane za dhahabu,moja ya fedha na moja ya shaba.

Medali alizozoa Usain Bolt

100m: 2008, 2012 Olympics; 2009, 2013 World Championships
200m: 2008, 2012 Olympics; 2009, 2011, 2013 World Championships
4x100m: 2008, 2012 Olympics; 2009, 2011, 2013 World Championships

Wadada wa Jamaica

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.