Thursday, August 22, 2013

Super D amwaga sumu kwa mabondia

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajab Mhamila Super D ameendelea kuwamwagia ujuzi mabondia mbalimbali wa mchezo huo.

Maaujuzi hayo tumemkuta akiyatoa kwenye fukwe ya Gymkhana Dar Es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha mchezo huo.

Shuka na picha uone maujuzi yanavyotolewa.
 
Ikija namna hii jinsi ya kuipangua ni hivi

 
Hapa anawapiga somo


Hapa ameweka pozi na mabondia
Ukiwa bondia usiogope ngumi ya kidevu


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.