MATCH FACTS
Head-to-head
- Msimu uliopita kwenye Premier League, Chelsea walishinda Old Trafford (1-0) na Manchester United walishinda Stamford Bridge (3-2).
- Katika mechi 42 za Premier League kati ya timu hizo zimewahi kutoka sare ya bila kufungana mara tatu April 1995; December 1998; May 2007).
- Kati ya mechi hizo 42,United wameshinda mechi 13,Chelsea wameshinda 14.na zimetoka sare mara 15.
- Mechi iliyozaa mabao mengi zaidi kati ya timu hizo ilikuwa ni zamani wakati huo ikifahamika kama daraja la kwanza United ilishinda 6-5 Stamford Bridge ilikuwa October 1954.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.