Thursday, August 15, 2013

HOFU : Moyes aziogopa Chelsea,Man City,Liverpool


Boss wa Manchester United David Moyes amelalamikia ratiba ya mwanzo ya klabu yake kwa ligi kuu ya EPL akisema ni ngumu zaidi ya wapinzani wao.

Miongoni mwa mechi zake tano za kwanza Man U watakuwa wenyeji wa Chelsea,Manchester City na mechi ya ugenini dhidi ya Liverpool. 

Moyes anasema huu ni mwanzo mgumu ambao wa klabu yake imewahi kuwa nao katika miaka 20. 

Bodi ya ligi kuu tayari imesema kuwa imemuhakikishia kuwa upangaji huo wa ratiba ni salama na wanakiri pia kocha huyo aliwasiliana nao moja kwa moja.

Moyes amechukua mikoba ya Sir Alex Ferguson,ambaye aliamua kukaa pembeni na alianza kazi July Mosi.
Bosi huyo wa zamani wa Everton ameshinda ngao ya jamii akiwa na Man United baada ya ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Wigan.
Season starts
Arsenal: Aston Villa (H), Fulham (A), Tottenham (H), Sunderland (A), Stoke (H).
Aston Villa: Arsenal (A), Chelsea (A), Liverpool (H), Newcastle (H), Norwich (A)
Chelsea : Hull (H), Aston Villa (H), Man Utd (A), Everton (A), Fulham (H).
Man City: Newcastle (H), Cardiff (A), Hull (H), Stoke (A), Man Utd (H).
Man Utd: Swansea (A), Chelsea (H), Liverpool (A), Crystal Palace (H), Man City (A).
Tottenham: Crystal Palace (A), Swansea (H), Arsenal (A), Norwich (H), Cardiff (A).

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.