Thursday, August 1, 2013

Madrid na Bale ndani ya mazungumzo

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesema klabu yake ipo kwenye mazungumzo ya kumchukua mshambuliaji wa Spurs na Wales Gareth Bale.


Ancelotti akizungumza kutokea ilipo kambi ya Madrid huko Los Angeles nchini Marekani amesema anaamini mazungumzo hayo ndio yatatoa picha ya nini kitatokea.

Weekend iliyopita Bale aliomba kuzungumza na Madrid.

Bale sasa

  • Age: 23
  • Premier League games: 146
  • Goals: 42
  • Yellow cards: 15
  • Red cards: 1
  • Wales caps: 41

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.