Friday, August 9, 2013

Arsenal kuanzia kwa Fenerbahce


Timu ya Arsenal ya England itacheza dhidi ya Fenerbahce ya Uturuki kwenye hatua ya mtoano ya Uefa Champions League baada ya kufanyika kwa draw leo kwenye makao makuu ya UEFA mjini Nyon.

The Gunners,ambao walifika fainali ya michuano hiyo 2006 wakapoteza kiwa kuchapwa mabao 2-1 na Barcelona,itasafiri mpaka Istanbul kwa mchezo wa kwanza utakaochezwa kati ya August 20-21 kabla ya kurejea London kwa mchezo wa pili kati ya August 27-28. 


Nao mabingwa mara saba AC Milan watacheza dhidi ya PSV Eindhoven ya UDatch ikikumbusha nusu fainali waliyokutana 2004-05 ambayo AC Milan walisonga kwa faida ya goli la ugenini.

Draw:

Olympique Lyonnais v Real Sociedad

Schalke 04 v Metalist Kharkiv

Pacos de Ferreira v Zenit St Petersburg

Steaua Bucharest v Legia Warsaw

Dinamo Zagreb v Austria Vienna

Viktoria Plzen v Maribor

Ludogorets Razgrad v FC Basle

Shakhter Karangandy v Celtic

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.