Monday, August 12, 2013

Azam yachapwa na Moroka Swallows


Mkongwe Siyabonga Nomvette akimtoka beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa leo, Azam FC imefungwa 0-1 na Moroka Swallows.

Mchezo huo umepigwa Volkswagen Dobsonville Stadium - Soweto.
Kikosi cha Azam FC
Pige nikupige
 
Kikosi cha Moroka Swallows
Kwa hisani ya Azam FC

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.