Monday, August 19, 2013

TENNIS : Nadal akaa pazuri,Serena Williams aendelea kukimbiza

Rafael Nadal anakwenda kwenye mashindano ya US Open akishikilia nafasi ya pili ya ubora duniani kwa wanaume baada ya kushinda Cincinnati Open.

Nadal raia wa Hispania mwenye miaka 27 amemshinda John Isner na kunyakuwa taji lake la tisa na sasa amemzidi Andy Murray kwenye ubora wa viwango.

Bingwa mtetezi Murray sasa atatajwa katika nafasi ya tatu kwenye ubora wa viwango vya US Open,inayotarajia kuanza August 26 huko New York.

Women's rankings

1. (unchanged) Serena Williams (US) 12,260 pts
2. (unchanged) Victoria Azarenka (Blr) 9,505
3. (unchanged) Maria Sharapova (Rus) 8,766
4. (unchanged) Agnieszka Radwanska (Pol) 6,335
5. (up one) Sara Errani (Ita) 5,125
6. (down one) Li Na (Chn) 4,825
7. (unchanged) Marion Bartoli (Fra) 4,365
8. (up two) Caroline Wozniacki (Den) 3,490
9. (unchanged) Petra Kvitova (Cze) 3,440
10. (down two) Angelique Kerber (Ger) 3,420


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.