Friday, August 16, 2013

Mourinho airudisha familia ya The Blues


 
Jose Mourinho amesema anataka Chelsea iwe tena kama familia baada ya mvurugano kutoka kwa kocha Rafael Benitez msimu uliopita.

Amesema sasa anataka wote kwa pamoja kuwa blue family kwa mara nyingine baada ya kusambaratika msimu uliopita na sasa anairudisha tena na anataka kila mmoja aunge mkono.

Anataka hata mashabiki kuwa pamoja wakati mzuri na wakati mbaya,wakati wa baridi,wakati wa jua,wakiwa nyumbani au ugenini,wakishinda au wakifungwa.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.