Timu ya Everton imeendeleza rekodi yake ya kutofungwa katika msimu huu baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle katika mchezo wa ligi kuu.
Bao lingine la Everton lilifungwa na Ross Barkley wakati yale ya Newcastle yalifungwa na Yohane Cabaye na Roic Remy.
Kikosi cha Everton kwasasa kipo chini ya Roberto Martinez aliyembadili David Moyes aliyetimkia manchester United.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.