Mshike mshike wa michuano ya Uefa Champions League leo utashuhudiwa mechi nane zikipigwa kwenye viwanja mbalimbali
Mchezo unaoonekana kuwa mkali zaidi ni ule wa Arsenal watakaokuwa nyumbani Emirates kuwaalika Napoli kutoka Italia na ule wa Barcelona watakaokuwa ugenini kukipiga na Celtic huko Celtic park.
Mchezo wa Chelsea watakaokuwa ugenini kukipiga na Steaua Bucharest nao unavutia kutokana na The Blues kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua hiyo ya makundi.
Mechi za leo
Zenit St Petersburg v FK Austria Wien -- Petrovski Stadium 18:00
Steaua Bucharest v Chelsea -- Stadionul Ghencea 20:45
Arsenal v Napoli -- Emirates Stadium 20:45
Celtic v Barcelona -- Celtic Park 20:45
Ajax v Milan -- Amsterdam Arena 20:45
Basel v FC Schalke 04 -- St Jakob-Park 20:45
Borussia Dortmund v Marseille -- Signal Iduna Park 20:45
FC Porto v Atltico de Madrid -- Estadio do Dragao 20:45
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.