Friday, October 4, 2013

Sasa tunarudi kwenye maumivu ya ligi kuu England...

Ni wikiendi nyingine tena imewadia na sasa kila mshabiki wa soka anarejesha mawazo yake kwenye ligi kuu ya England ambako kuna raha,karaha na machungu yake.

Wapo mashabiki ambao msimu huu wanauona mchungu na wapo ambao msimu huu wanauona umekaa sawa,nikisema hilo unatambua nazungumza nini.

Shuka na picha hizo halafu tazama ratiba imekaaje wikiendi hii.
 
 
 
Sat 5 Oct 2013 - Premier League
  • Man City v Everton 12:45
  • Cardiff v Newcastle 15:00
  • Fulham v Stoke 15:00
  • Hull v Aston Villa 15:00
  • Liverpool v Crystal Palace 15:00
  • Sunderland v Man Utd 17:30
Sun 6 Oct 2013 - Premier League

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.