Wednesday, October 16, 2013

Kombe la dunia lanoga,England ndaniiiiiiii....

England wamefanikiwa kutinga kwenye fainali za kombe la dunia 2014 nchini Brazil baada ya ushindi wake wa mabao 2-0 mbele ya Poland mchezo uliopigwa Wembley.

Wayne Rooney na Steven Gerrard ndio walitumbukiza mabao hayo.
Roneeeeeeeeeey..........
 
 
 
 
 
Timu zilizofuzu kucheza fainali za dunia 2014

Brazil (wenyeji), Australia, Japan, Iran, South Korea, Belgium, England, Italy, Russia, Switzerland, Bosnia-Hercegovina, Germany, Netherlands, Spain, Costa Rica, USA, Argentina, Colombia.

Timu zinazotakiwa kucheza hatua ya mtoano

Croatia, Sweden, Romania, Iceland, Portugal, Greece, Ukraine na France.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.