Chelsea wako tayari kutumia paundi milioni 50 wakati wa usajili wa dirisha dogo mwezi January ili kuwanasa kiungo wa Marseille Giannelli Imbula na beki wa FC Porto Eliaquim Mangala.
Boss wa The Blues Jose Mourinho anatamani kuimarisha kikosi wakati wa mwaka mpya na imewekwa bayana kuwa wawili hao ndio wako kwenye rada zake.
|
Giannelli Imbula |
|
Eliaquim Mangala |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.