Bingwa wa uzito wa juu wa WBC raia wa Ukraine Vitali Klitschko,amethibitisha kuutaka Urais wa nchi hiyo kwenye uchaguzi wa 2015.
Itakumbukwa mwezi August Klitschko alisema lengo kubwa ni kuifanya Ukraine kuwa Ulaya,nchi ya kisasa yenye maisha ya kiulaya.
Anasema ataamua na watu wenye mtazamo mmoja,ndoto zinazofanana na kuingia kwenye siasa na kutokea ndani kufanya mabadiliko.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.