Thursday, October 24, 2013

Ronaldo ilibaki kidogo ajiunge Juventus

Mshambuliaji wa Real Madrid Christiano Ronaldo amefunguka kuwa ilibaki kidogo Juventus ya Italia.

Ronaldo, 28,amesema alikuwa karibu kabisa kusaini Juve mwaka 2003, lakini akachagua kujiunga na Manchester United kwasababu ya Sir Alex Ferguson.
 
 
 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.