Wednesday, October 23, 2013

Lewandowski alipowanyonga Arsenal

Robert Lewandowski amewanyonga Arsenal akitupia wavuni bao la dakika za mwisho akiipa ushindi Borussia Dortmund kwa mabao 2-1 huko Emirates Stadium katika champions league.
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.