Kiungo wa Simba Abdulghalim Hamoud amenunua kiatu kipya kilichomgharimu dola 400 ambayo ni zaidi ya laki 6 za kibongo maalum kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Yanga.
Hamoud anasema kiatu hicho amekiagiza kutoka nchini Canada..
Mechi ya Watani wa jadi Simba na Yanga leo inacheza leo saa kumi jioni mchezo wa ligi kuu Tanzania bara pale Uwanja wa Taifa.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.