Saturday, October 5, 2013

Mechi za wikiendi Tanzania,Africa,Ulaya




Ligi kuu ya soka Tanzania bara leo itaingia katika mzunguuko wa saba kwa kushuhudia michezo minne ikiunguruma katika viwanja tofauti ambapo maafande wa Ruvu Shooting watakuwa mwenyeji wa vinara wa msimamo wa ligi hiyo Wekundu wa Msimbazi Simba kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Viingilio katika mchezo huo utakaochezeshwa na muamuzi Mohamed Theofil kutoka mkoani Morogoro kuanzia saa 10 kamili jioni vitakuwa sh. 5,000, sh. 8,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.

Michezo mingine ya ligi kuu ya soka tanzani bara itakayochezwa leo ni kati ya maafande wa JKT Ruvu ambao wataumana na wakata miwa kutoka Bukoba mkoani Kagera, Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam huku Coastal Union wakitarajia kuwa wenyeji wa Azam FC kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Katika uwanja wa uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Kaluta Amri Abeid jijini Arusha wenyeji wa uwanja huo Oljoro JKT wataonyeshana ubabe na Mbeya City katika harakati za kuzisaka point tatu muhimu.

Ligi hiyo itaendelea tena kesho Jumapili ambapo mabingwa watetezi Dar es salaam Young Africans watapambana na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati Mgambo Shooting watawaalika Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. 

Michezo mingine mbali na ligi ya Tanzania 

CAF Champions League | FIXTURES
Saturday 05 October 2013

Coton Sport (Cameroon)
v
Al Ahly (Egypt)
Garoua
16:00


Orlando Pirates
v
Esperance (Tunisia)
Orlando Stadium
18:00


CAF Confederation Cup | FIXTURES
Sunday 06 October 2013

CA Bizertin (Tunisia)
v
CS Sfaxien (Tunisia)

16:00

St Malien (Mali)
v
TP Mazembe (DRC)

18:00



 English Barclays Premier League | FIXTURES

All times CAT (SA, GMT+2)
Saturday 05 October 2013
Manchester CityvEvertonEtihad Stadium13:45
Cardiff CityvNewcastle UnitedCardiff City Stadium16:00
FulhamvStoke CityCraven Cottage16:00
Hull CityvAston VillaThe KC Stadium16:00
LiverpoolvCrystal PalaceAnfield16:00
SunderlandvManchester UnitedStadium of Light18:30
Sunday 06 October 2013
SouthamptonvSwansea CitySt. Mary's Stadium14:30
Norwich CityvChelseaCarrow Road14:30
Tottenham HotspurvWest Ham UnitedWhite Hart Lane17:00
West Bromwich AlbionvArsenalThe Hawthorns17:00

Spanish La Liga | FIXTURES

All times CAT (SA, GMT+2)











Saturday 05 October 2013
ElchevEspanyolMartnezValero16:00
Rayo VallecanovReal SociedadCampodeFtboldeVallecas18:00
LevantevReal MadridCiutatdeValncia20:00
BarcelonavReal ValladolidCamp Nou22:00
Sunday 06 October 2013
Atltico de MadridvCelta de VigoVicente Caldern12:00
SevillavAlmeraRamnSnchezPizjun17:00
GetafevReal BetisColiseumAlfonsoPrez19:00
Athletic ClubvValencia CFSanMams21:00

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.