Friday, October 18, 2013

Nkongo vs Yanga

Ilianzia baada ya kadi nyekundu ya Niyonzima
Chukua hiyooooo....
Hawa jamaa wataniua kumbe hata ngumi wanaweza
Isiwe tabu wacha nikimbie hawa jamaa wacheza soka au masumbwi
Nsajigwa niache nimfuate huko huko alaaa
Wacha tukaongeze nguvu hawa Yanga washachafua hali ya hewa dah!

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.