Wednesday, September 11, 2013

WEMBLEY kuamua hatima ya England kombe la dunia

England wamefanikiwa kupata pointi moja kwenye mchezo wa kuisaka tiketi ya fainali za kombe la dunia 2014 dhidi ya Ukraine.
 

Kocha Roy Hodgson anafahamu kuwa ushindi kwenye michezo yake miwili itakayopigwa Wembley dhidi ya Montenegro na Poland itakayopigwa October itawapa nafasi ya kufuzu kwa fainali hizo.
 

World Cup Qualifying Group H

Played Won Points GD
England
8
4
16
+22
Ukraine
8
4
15
+15
Montenegro
8
4
15
+7
Poland
8
3
13
+9
Moldova
8
1
5
-11
San Marino
8
0
0
-42

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.