Tuesday, September 10, 2013

Nadal amtesa Djokovic Us Open

Rafael Nadal amemshinda kinara wa dunia kwa wanaume katika mchezo wa Tennis Novak Djokovic na kushinda taji la US Open huko New York.

Nadal raia wa Hispania mwenye miaka 27, ameshinda kwa 6-2 3-6 6-4 6-1 kwenye mchezo uliochezwa kwa saa 3 na dakika 21.
 

Most Grand Slam singles titles

  • 17 - Roger Federer
  • 14 - Pete Sampras
  • 13 - Rafael Nadal
  • 12 - Roy Emerson
  • 11 - Rod Laver, Bjorn Borg

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.