Timu 10 za Africa zinazowania nafasi ya kucheza fainali za kombe la dunia 2014 nchini Brazil zimewajua wapinzani wao katika draw iliyofanyika leo makao makuu ya Shirikisho la soka barani Africa CAF mjini Cairo nchini Misri.
Timu hizo 10 zilizoingia kwenye hatua hiyo ni Algeria, Burkina Faso, Cameroon, Ivory Coast, Egypt, Ethiopia, Ghana,
Nigeria, Senegal na Tunisia ambazi zinawania nafasi 5 za kwenda Brazil.
Mechi hizo zitapigwa kati ya October 11 na 15 na zile za marudio zitapigwa kati ya November 15 na 19 2013.
DRAW
Ivory Coast v Senegal
Ethiopia v Nigeria
Tunisia v Cameroon
Ghana v Egypt
Burkina Faso v Algeria
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.