Monday, September 2, 2013

Bale na rekodi mpya,imewahi kuvunjwa mara 42,wamo,Ronaldo, Zidane,Shearer,Maradona

Rekodi ya dunia iliyowekwa na Gareth Bale aliyetua Real Madrid akitokea Tottenham kwa dau la paundi milioni 86 ni rekodi ya 42 kuwekwa.

Real Madrid nayo tokea mwaka 2000 imekuwa ni klabu ambayo inavunja na kuweka rekodi Cristiano Ronaldo (£80m) Luis Figo (£37m), Zinedine Zidane (£53m), Kaka (£56m) na sasa Bale.

Lakini hawa nao wamewahi kuvunja na kuweka rekodi
Christiano Ronaldo Manchester United kwenda Madrid Paundi milioni 80
Enrique Omar Sivori Juventus akitokea River Plate kwa £93,000 in 1957
Johan Cruyff
Diego Maradona

Luis Figo
Zinedine Zidane Zizzou
Kaka
Denilson kwenda Real Betis kwa £21.5m 1998

Hernan Crespo kwenda Lazio
Allan Shearer kwenda Newcastle

 
 


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.