Katika mechi za leo Manchester United chini ya David Moyes na Real Madrid chini ya Carlo Ancelotti nazo zipo kibaruani.
Galatasaray itakuwa nyumbani ikiwaalika Real Madrid katika mchezo ambao Didier Drogba anakutana na Ancelotti kocha wake wa zamani aliyewahi kuwa naye Chelsea,huku PSG nao wakitupiwa jicho baada ya kufanya kufuru kumnasa mshambuliaji Ednson Cavanni
Match za leo
- Man Utd v B Leverkusen 19:45
- Plzen v Man City 19:45
- Bayern Munich v CSKA Moscow 19:45
- Benfica v Anderlecht 19:45
- FC Copenhagen v Juventus 19:45
- Galatasaray v Real Madrid 19:45
- Olympiakos v Paris SG 19:45
- Real Sociedad v Shakh'r Donetsk 19:45
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.