Monday, September 2, 2013

Drama za usajili Ulaya

Dirisha la usajili linafungwa huku usajili mwingine ukizua mshtuko kwakuwa haukuwahi kuzungumzwa hapo kabla.

Kwa Gareth Bale alichofanya ni kumalizia kazi iliyokuwa imeanza tokea mapema na ametambulishwa mbele ya mashabiki.
Liverpool wametumbukia na kumnasa kwa mkopo Victor Moses.
 Kaka akaamua kufurahia maisha tena akiwa na AC Milan na amelikimbia benchi Real Madrid
 Arsenal wamevunja na wameweka rekodi yao wenyewe wakitoa paundi milioni 42 kumnasa Mesut Ozil
Arsenal wakatumbukia kumtaka Demba Ba
Mata naye PSG akawachezeshe kina Zlatan Ibrahimovic
Hizi ni baadhi tu ya Drama za usajili wa Ulaya



No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.