Mpiga pedeli Chris Froome ameutoa ushindi wake wa Tour de France kwa mama yake mzazi aliyefariki dunia.
Froome amekuwa wa kwanza kupata ushindi wa michuano hiyo kutokea jezi za njano tokea skendo ya Lance Armstrong.
Lakini pia akatumia nafasi hiyo kupeleka ujumbe wa kujisafisha na kashfa ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu zilizopigwa marufuku michezo,akisema yeye na waendesha baiskeli wengine ni wasafi.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.