Alcantara akifanya mambo yake
Pep Guardiola ametumbukia kwenye vita ya kumuwania Thiago Alcantara wa Barecelona ili avae jezi za Bayern Munich.
Kuingia kwa Guardiola kumuwania kinda huyo ni kama kuwavuruga Manchester United ambao walikuwa karibu kabisa kumnasa kwa dau la paundi milioni 17.
Guardiolaanasema kijana huyo anastahili kuvaa uzi wa Bayern na anamfahamu vizuri kuwa anaweza kucheza nafasi tatu,nne mpaka tano na alianza kumchezesha kinda huyo wakati alipokuwa na miaka 18 wakati huo akiinoa Barcelona.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.