Saturday, July 20, 2013

Rekodi iliyodumu miaka 28 yavunjwa

Bingwa mara mbili wa Olympic Muingereza mwenye asili ya Africa Mo Farah amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka 28 iliyowekwa na Steve Cram kwenye mbio za mita 1500 kwenye Diamond League huko Monaco.

Mo amekimbia kwa muda wa dakika dakika 3:28.81 na sasa anashikilia rekodi barani Ulaya.

Farah,bingwa wa mbio za 5,000m na 10,000m wa Olympicalimaliza nafasi ya pili nyuma ya MKenya Asbel Kiprop aliyeweka rekodi ya kukimbia kwa dakika 3:27.72.

Vinara wa wakati wote kwa wanaume duniani 1500m

  • 3:26.00 Hicham El Guerrouj (Mor) 1998
  • 3:26.34 Bernard Lagat (Ken) 2001
  • 3:27.37 Noureddine Morceli (Alg) 1995
  • 3:27.72 Asbel Kiprop (Ken) 2013
  • 3:28.12 Noah Ngeny (Ken) 2000
  • 3:28.81 Mo Farah (GB) 2013



Vinara wa wakati wote Uingereza kwa wanaume 1500m

  • 3:28.81 Mo Farah 2013
  • 3:29.67 Steve Cram 1985
  • 3:29.77 Sebastian Coe 1986
  • 3:30.77 Steve Ovett 1983
  • 3:31.86 John Maycock 1997
  • 3:32.34 Anthony Whiteman 1997

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.