Wednesday, July 24, 2013

Suarez aruhusiwa kuteta na Arsenal,bila paundi milioni 50 hauzwi


Mshambuliaji Luis Suarez ataruhusiwa kuzungumza na Arsenal lakini Liverpool haiko tayari kumuachia kwa dau la chini ya paundi milioni 50.

Dau la Arsenal la paundi milioni 40 lilichomolewa na Liverpool lakini sasa habari nzuri kwa Arsenal ni Suarez kupewa ruksa ya kuzungumza na klabu hiyo baada ya kushinikiza hilo.

Hata hivyo Liverpool imesisitiza kuwa hawatamuuza mshambuliaji huyo kama Arsenal hawatafikia kwenye dau hilo wanalolitaka.

Rekodi ya Arsenal kununua wachezaji

  • Jose Antonio Reyes (Sevilla) £17.5m
  • Santi Cazorla (Malaga) £16m
  • Andrey Arshavin (Zenit St Petersburg) £15m
  • Sylvain Wiltord (Bordeaux) £13m
  • Thierry Henry (Juventus) £11m

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.