Style hiyo imekuwa maarufu sana duniani na imekuwa ikiigwa na wengi sana kwasababu ni ya kipekee na haijawahi kushangiliwa na yeyote mpaka ilipobuniwa na Kidiaba mwenyewe na sasa imekuwa habari ya dunia,hebu twende sawa hapa uone mambo yake na yanavyoigwa duniani,hakika hii ndio brand ya Kidiaba.
Kidiaba anafanya yake baada ya Mazembe kutumbukia wavuni...
Na mimi wacha nijaribu nimeipendajeee
Carlos Alberto naye hajapitwa
Hata huko Congo ni maarufu mpaka kwenye mabango
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.