Monday, November 4, 2013

Vettel azidi kuwatesa kwenye Formula1

Dereva wa Red Bull Sebastian Vettel ameendelea kutesa kwenye mbio za magari za Formula 1 Langalanga baada ya kushinda kwenye Abu Dhabi Grand Prix na kufanya kuwa ushindi wake wa saba mfululizo.

Vettel,ambaye tayari amevikwa taji la dunia aliongoza kwenye kila mzunguko na kufanikiwa kumshinda dereva mwenzake wa Red bull Mark Webber,dereva wa Mercedes Nico Rosberg na yule wa Lotus Romain Grosjean.
 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.