Friday, November 15, 2013

CECAFA CHALLENGE CUP : Taifa Starz kundi moja na Zambia,Kenya kuzindua na Ethiopia


Baraza la vyama vya soka Afrika mashariki na kati CECAFA leo limepanga makundi ya michuano ya kombe la Challenge ambayo imepangwa kuanza Novemba 27 nchini Kenya.

Kundi A - Kenya, Ethiopia, Zanzibar, South Sudan

Kundi B - Tanzania, Zambia, Burundi and Somalia

Kundi C - Uganda, Rwanda, Sudan and Eritrea.

Ratiba ya michuano hiyo itatangazwa na CECAFA wiki ijayo lakini mchezo wa kwanza utakaopigwa Uwanja wa Nyayo wenyeji Kenya Harambee Starz watafungua dhidi ya Ethiopia.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.