Mcheck kocha Talib Hilal aliwahi kuichezea Simba na aliwahi kuifundisha pia akiwa katika kozi ya FIFA ya soka la ufukweni huko Muscat.
Jamaa anafanya yake kwasasa ni kocha wa timu ya Taifa ya soka la ufukweni ya Oman.
Blog ya Supermariotz inatoa big up kwake.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.