Bao la Aaron Ramsey lililofungwa kwa kichwa lilitosha kuwapa ushindi Arsenal mbele ya Borussia
Dortmund na kukifanya kikosi cha Arsene Wenger kuendelea kukaa kileleni mwa kundi F kwenye Champions League.
Mechi zilizobaki za Arsenal kundi F
26 November: Marseille (home)11 December: Napoli (away)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.