Tuesday, November 12, 2013

Mwamuzi wa Tanzania Israel Nkongo ala shavu kuchezesha challenge Cup

Baraza la vyma na vilabu Africa Mashariki na kati CECAFA imetaja waamuzi watakaochezesha kwenye mashindano ya kombe la challenge itakayopigwa nchini Kenya kuanzia November 27 mpaka December 12,katika orodha hiyo yumo mwamuzi kutoka Tanzania Israel Mujuni Nkongo.

Orodha hiyo imetangazwa na katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye ambayo ina jumla ya waamuzi 9 na waamuzi wasaidizi 9.

Waamuzi hao watatakiwa kufanyiwa mtihani wa uimara wao na vipimo vya afya pale watakapotua Nairobi.

Referees: 1. Anthony Ongwayo-Kenya, 2. Denis Batte-Uganda, 3. Wish Yabarow- Somalia, 4. Israel Mujuni- Tanzania, 5. Louis Hakizimana- Rwanda, 6. Thiery Nkurunziza- Burundi, 7. Waziri Sheha- Zanzibar, 8. Gebremichael Luleseged- Eritrea, 9. Kheirala Murtaz – Sudan

Assistant Referees 1. Gilbert Cheruiyot- Kenya, 2. Tonny Kidiya- Kenya, 3. Mark sonko- Uganda, 4. Fedinard Chacha- Tanzania, 5. Suleiman Bashir- Somalia,6. Fraser Zakara-South Sudan, 7. Simba Honore-Rwanda, 8. Hamid Idam- Sudan, 9. Kinfe Yimla-Ethiopia

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.