Mchezaji wa zamani wa Barcelona, AC Milan na Brazil Rivaldo ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 41.
Rivaldo aliyetwaa kombe la dunia 2002 alikuwa akiichezea timu ya daraja la tatu nchini Brazil ya Mogi Mirim,ambako pia yeye ni Rais wa klabu hiyo akiwa na motto wake mwenye miaka 18 Rivaldinho.
Rivaldo's CV
Clubs:
Santa Cruz (1991), Mogi Mirim (1992), Corinthians
(1993) Palmeiras (1994-96), Deportivo La Coruna (1996-97), Barcelona
(1997-2002), AC Milan (2002-04), Olympiakos (2004-07), AEK
Athens (2007-08), Bunyodkor (2008-2010), Sao Paulo (2011), Kabuscorp
(2012), Sao Caetano (2013), Mogi Mirim (2014)
Country:
Brazil (1993-2003), 74 caps, 34 goals
Personal honours:
Fifa World Player of the Year (1999), Ballon d'Or (1999)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.