Mabao matatu ya Lionel Messi na moja la Iniesta ymeipa ushindi wa maboa 4-3 Barcelona mbele ya Real Madrid katika mchezo mkali wa ligi kuu ya Hispania La liga.
Karim Benzema akatupia mabao mawili na Christiano Ronaldo akatupia moja kwa upande wa Real Madrid.
Ushindi huo unawafanya Barcelona kufikisha pointi 69,ikiwa ni moja nyuma ya vinara Atletico Madrid na Real Madrid wanaokamata nafasi ya pili ambao wana pointi 70 kila mmoja.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.