Tuesday, July 15, 2014

Suarez atua barcelona kimya kimya


Luis Suarez amenaswa akitua Barcelona akiwa na mke wake na binti yao kukamilisha usajikli wake wa paundi milioni 75 kutoeka Liverpool.

Mshambuliaji huyo wa Uruguay ameonekana huko Catalunya tayari kukamilisha mpango huo.

FIFA wamethibtisha tayari kuwa Barcelona hawataruhusiwa kumtambulisha mshambuliaji huyo kwakuwa anatumikia adhabu.





No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.