Wednesday, June 18, 2014

Ligi kuu England August 16,Chelsea,City,Liverpool,United,Arsenal wapewa kibarua


Ratiba ya ligi kuu ya England EPL imewekwa hadharani ambapo mabingwa watetezi Manchester City wataanza kampeni yao ya kutetea uchampion wakicheza dhidi ya Newcastle hapo August 16.

Manchester United chini ya Louis van Gaal itaanza mbio zake kwa kucheza na Swansea, wakati kocha Ronald Koeman na Southampton yake wanashuka kuwakabili Liverpool.

Chelsea wataanzia ugenini wakicheza dhidi ya wageni wa ligi hiyo Burnley

Ratiba ya mechi za kwanza August 16

Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United v Manchester City
Queens Park Rangers v Hull City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Sunderland
West Ham United v Tottenham Hotspur

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.