Friday, June 20, 2014

Balotelli ataka busu la mrembo wa Uingereza


Mshambuliaji mtukutu wa Italia na AC Milan Mario Balotelli amesema anataka busu kutoka kwa mrembo kama Italia itaweka hai matumaini ya England kuendelea kubaki kwenye kombe la dunia.

England wana nafasi finyu ya kufuzu kucheza hatua ya mtoano kama Italia itaifunga Costa Rica leo.

Balotelli ameandika kwenye mtandao wa kijamii wa twitter akisema kama wataifunga Costa Rica,anahitaji busu na liwe busu la mrembo akitokea kwa malkia wa UK.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.