Wakati kukiwa na harakati za kuiuza timu ya mpira wa kikapu ya LA Clippers iliyopo kwenye ligi kuu ya Marekani NBA tayari wenye fedha zao wameanza kusikika kutaka kuinunua timu hiyo inayouzwa kufuatia mmiliki wake Donald Sterling kufungiwa maisha na kutakiwa kutojihusisha na biashara yoyote inayohusu mpira wa kikapu.
Wanaotajwa kutaka kuinunua timu hiyo ni mabondia Mayweather na De La Hoya muimbaji Sean Combs,wakati David
Geffen, Larry Ellison na Oprah Winfrey wapo kwenye mazungumzo.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.