Thursday, February 20, 2014

Uefa Champions league : Wamepigika

Arsenal wakiwa wametiwa unyonge baada ya kufungwa mabao 2-0 na Bayern Munich
Bayern wanashangilia bao la pili la Muller
Mungu mkubwa

Jack Wilshere na Toni Kroos walivyokichafua
Mawazo dah...
Diego Costaaaaaaa....AC Milan 0-1 Atletico Madrid

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.