Monday, February 10, 2014

Messi amerudi,Barca kileleni


Lionel Messi amerudi tena akitumbukia wavuni mara mbili na kuiweka Barcelona kileleni mwa la liga baada ya kuifumua Sevilla mabao 4-2.
Mabao mengine yamewekwa wavuni na Alexis Sanchez na Cesc Fabregas 

Matokeo ya La liga
Sunday 9 Feb 2014 - Spanish La Liga
Saturday  8 Feb 2014 - Spanish La Liga
Position Team Played Goal Difference Points
1   Barcelona          23           46                     57               
2   Real Madrid      23           41                     57  
3  Atlético Madrid 23           40                      57

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.