Kocha wa Borrusia Dortmund Jurgen Klopp ni hodari wa kazi yake ya ukocha na anasifika sana kwa kutengeneza kikosi imara na kikali,lakini kocha huyo ni mfalme si katika soka tu hata nje ya soka.
Kocha huyo anaelezewa kuwa ni kocha mkali hata kwenye kudandia picha za wachezaji wake.
Hebu mtazame hapa alivyodandia picha hizi.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.