Thursday, April 10, 2014

WANAUME KAZINI...wanasubiriana nusu fainali Champions league

Wanaume wanne wanasubiri kuona nani atakuwa mpinzani wake kwenye hatua ya nusu fainali ya Champions league katika draw itakayofanyika kesho.

Chelsea,Real Madrid,Atletico Madrid na Bayern Munich ndizo zimekata tiketi ya kucheza nusu fainali.

Huu ni msimu wa kwanza tokea 2004-05 Manchester  United na Barcelona kwa pamoja kutotinga hatua ya nusu fainali ya Champions League.
 
 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.