Friday, April 11, 2014

EUROPA LEAGUE : Hawa ndio wanaume wanne

Michuano ya Europa league nayo imeingia kwenye hatua ya nusu fainali baada ya kukamilika hatua ya robo fainali.

Hawa ndio wanaume waliopata nafasi ya kutinga kwenye hatua hiyo ya nusu fainali.





  • Juventus
  • Sevilla
  • Benfica
  • Valencia





No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.