Timu ya Ruvu shooting ya Pwani inawakaribisha vinara wa ligi kuu Azam FC kwenye mchezo uliohairishwa jana kufuatia uwanja wa Mabatini Mlandizi kujaa maji baada ya mvua kubwa kunyesha.
Mchezo huo sasa unalazimika kuchezwa leo kutegemea hali ya hewa itakavyokuwa na hali ya uwanja kuweza kutumika kwa mchezo huo.
Mpaka muda huu hali ya hewa inaoneaka kuruhusu kupigwa kwa mchezo huo kwakuwa kijua kinapiga na maji yameondoka.
Tatizo hilo la uwanja wa Mabatini pia hulikumba viwanja kadhaa wakati mvua inaponyesha,shuka na picha zinajieleza.
uwanja wa Kaunda |
Uwanja wa Jamhuri Dodoma |
Uwanja wa Uhuru |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.