PICHA : Polisi wakiwaokoa wachezaji Ivory Coast,bakora,virungu vimetembea kisawa sawa
Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.